asanteni Mgtow

wadau made my first 3 million nusu nikanunua jalopy hio ingine nimeinvest multiple jltiple sources by the end of hii mwaka nitakuana udongo mahali fiti. Hii yote nikufocus na kuavoid ujinga ya relationships. at 23 gentlemen…[ATTACH=full]450935[/ATTACH]

Congrats mdau, but at 23 wewe ni mwizi tu

:D:D:Dunakata kijana mguu

All is possible… Hardwork plus working smart pays.

Guy all is possible in posting Momo’s , but a 23 year old telling me he invested wisely? Campus msee umaliza akiwa 24 , biashara za huko ni photocopy which only caters for sausages , kabla I made my first mita I hustled and sweated blood 4 years after graduation .huyu kama si conman or from rich family he should wake up asikunie kwa bed

Mwizi utafuata Obegi.

Hii ghasia iko Majuu. Hiyo mlango ni ya passenger na iko right side, gari iko in miles pia.

oa sasa,

[ATTACH=full]450952[/ATTACH]

Wish you well

Stop living in the nineties. Siku hizi na biashara za online young people make serious money. Hata Youtube watu wanakula fiti huko but you can’t know that because you are a dinosaur. Stop raining on his parade just because he is young - find a better reason. By the way, I also made my first million at 23 so sijui unashangaa nini. Kuna vijana hujituma buana.

I am adaptable to change but saa ingine wewe hutubeba malenge sana. 23 years in Kenya kama family yenu sii matahiri jupata 1m sii rahisi hivyo unatwambia. Hizi biashara za online ni gani unaimbanga na hujawahi chanua majamaa wajaribu. Ni biashara gani haswa? Obegi pia alikuwa na biashara za “online”.

Sijasema ni rahisi…nimesema ni possible nowadays kuliko kitambo. Comprehension huwa ngumu sana hii kijiji.

Tulia mzee safari baado

Huyu azor mohahi anaeza mislead vijana wakue criminals .good work in taming that ghaseeer ,anariga na pesa ya babake

Tell us more on how exactly you made 1M @23. Do not hide behind ‘online jobs’ tag.

Hehe
Kwani mtu hawezi angukia kwa amani

At 23 watu wengi bado wanaoga na sabuni ya mzazi

I realized juzi that oaf has trouble counting. Mtu amwambie 1 million cents is 10K

This makes sense. Majuu hata 18 year old ananunua gari brand new kwa dealership. Lakini ni deni.