Last time tulisuasua when arteta won it.Anyway God’s ordained team tuko gangari.Early kickoff kesho,Liverpool wauwe seven headed serpent.
Sio swara. Tumekataa. Usiwena stress. Tulia namba this
Team bwaku
Halaand na Foden wako na injury.
Four out of seven, more than 20 coaches share the remaining 3. Team bwaku
mimi si argue na haters. nikikutana nao anywhere hii ndio wimbo nawaimbia/nawapea :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Thread ya umeffi
Hizo awards zote Arsenali waliziendea.
Japap Monday assembly point ya maandamano ni wapi? Nimekaa siku mingi bila kuskia harufu ya tear gas.
:D:D Monday itakuwa noma saidi. Better utulie nyumbani ama job.