[MEDIA=twitter]1476143043787038720[/MEDIA]
Manjesta fan base likes this…
muyamaa Amejitoa mapemamapema . but this is so unprofessional of Arteta this is the 6th game he is missing this season because amekataa kuwa vaccinated . takataka ya mtu . we all saw how Villa crumbled without mzee Gerard in the stadium
but he sounds as if he is vaccinated. :
Hio game ya man city itaharibu unbeaten run ya azenali
:D:D:D:D
hapana hio ni kama bump kwa njia Kiboko then tunarudi kuchapa the other 17 teams .
Arteta bado haja learn Art ya kupiga Man city, Chelsea na Liverfool , its more psychological . aki jua hio tunachukua ligi
Itabidi aone moyes kando, ni yeye (moyes) tu ametandika the big six akashindwa kupiga arteta.
Hiyo kitu una tumia pass it over.
Tuchel the fraud does it again :D:D:D:D:D:D our Arsenal boy Welbeck
Another faaakin draw banae what’s happening
ata kama Arteta hayupo bado tutauwa manchieth city!