Arsenali sasa tena kume enda aje. Bet yangu aki

92k namna iyo akina @Mundu Mulosi @uwesmake @123tokambio niambieni vile Watu huskia waki support this club[ATTACH=full]204355[/ATTACH][ATTACH=full]204356[/ATTACH][ATTACH=full]204357[/ATTACH][ATTACH=full]204358[/ATTACH][ATTACH=full]204359[/ATTACH][ATTACH=full]204360[/ATTACH][ATTACH=full]204361[/ATTACH]

Iza :D:D

:):slight_smile:
Pole mkubwa.Hutu tuteam tudogo hatufai kichwa.

Had you already counted your chicks? 92,000 of them? Got lots to say,just don’t know how to without being abusive

The house…

Iza msee. Loss kama hiyo huuma msee mpaka kwa maini.

:smiley:
[ATTACH=full]204364[/ATTACH]
Ata mimi mtego yangu ya fombe imeteguka

Blame the ref. Hio penalty ya pili was not legit… Ghasia yeye

Takataka leo utalala njaa PWEGEGEGEGEGEGEGEGEGEGE

Saitan… Kujia guarana lakini

naweka odd ya 7 inaingia alafu ka Team kadogo vile @Kenjatta amesema kana zalisha spot kick

High risk[ATTACH=full]204366[/ATTACH]

Ungeweka betin, kuna option ya kucashout incase uone mambo haiendi musuri

Kwani unafikiria game iliisha anza unaeza cash out? He was sure arsenal ingechapa mtu…

Kuna mtu ameniambia leo, ukiweka bet ya team kumi unaomba mungu zote ziingie, muhindi naye anaomba mungu moja tu ianguke akule pesa yako. Do the math now

@Duke of Busia si ulisema gambling stock imeisha Hadi next month, kwani uliamua kubet na stock ya supper na breakfast :smiley:

Have you ever used betin ama nikupiga mdomo hapa ghasia iii…

:D:D:D Kwani ni boeing ndio uulize kama i have ever used, Saitaaaaan!!
But to answer you, yes i have used it, yes i have cashed out, and yes, many times cashout is usually unavailable after kickoff…

nlipata niko na MA shilingi kwa spesa kawaida I use betin