Arsenali inauwa nyoka

Freddie our boy is in charge , that fool Emery was confused and had no stand .

Sasa kijana ya Wenger anekuom kushikilia , he brings in Wenger’s fluid game and his own tactical decisions to patch Wenger Emerys mistakes .

Everyone admitted Arsenal has a great squad but shida alikuwa Emery .

As we wait for Simeone/Allegri / pochetinho to come . Leo tunauwa nyoka

Norwich 1— Arsenal 3
Wolves 1 - shefield 2
Leicester 1 – Everton 2
Manchieth united 2 – A villa 0

Swara…

Mbwa tulikukataza arsenchieth wakicheza usikuje hapa na hio mdomo yako imejaa swara.

Upuzi real scores ndio hizi
Norwich 2-2 Arsenal
Wolves 2-1 Sheffield
Leicester 3-0 Everton
Manchieth 1-2 villa

With that lineup mtatwangwa ama mdraw. No win

Tucker tucker ghaseer umbwer coco

Leicester Everton 1-1

Leicester number two bana…

Why did @admin allow @uwesmake to put up an Arsenal thread?

Hahaha…uwesmakende umejificha wapi?

Figsed.

Mjitayarishe kukamuliwa in 24 min

bure kabisa

Manchester team kubwa

Aston Villa can’t keep a lead

Game zote za leo Ni Kama draw

And manjester cant win