Team ya Emery inalima vijana wa italiano.Wekelea kila kitu hadi birth certificate.
Kuna watu watalilia. Kwa choo
Siwezi reply kwa thread ya @uwesmake juu yeye ni swara
ION; hio squad nayo ni kali
[ATTACH=full]237053[/ATTACH]
Hapa ni OV 2.5 na chelsea win.
Currently sipping Kenya Cane pineapple tukingoja bet iive tubadilishe kuwa tusker. Kurauka kwenda kazi asubuhi ni wewe:cool:
Uko wapi ghassia ya kayole kuom hapa nyama villa
Investors
Wekeni hii Arsenal 2-0 Valencia
Chuom fulani koma
Watu wa Manchester you should be teaching yourself how next season will be…
1-0
Arsenal can still bottle…naona kared card arsenal inakuja and then boom…valencia qualifies :D:D
2-2
2-4
CHEL -shiet!
FUCKING KEPA ALIZABALANGA.
wacha kijana barubaru a prosper