arsenali funda

sasa olympiacos ndio nani jameni…#salaryyawengeripewewalimu

1 Like

kuna watu wanalilia kwa choo

https://pbs.twimg.com/media/CQGSHMbU8AED039.png

3 Likes

alafu next tym ni bayern na tuko na zero points jamen:(:(:frowning:

Kwanza the premier league is in danger of losing its fourth champions league spot to either bundesliga or serie a.

These results will make Wenger to resign or at least buy new players in Jan and focus on the league. Because as far as I can see, the Bayern double header will knock out Gunners out of UCL.

1 Like

true daat ari sasa europa league tena

https://pbs.twimg.com/media/CQGTM1FUsAANd6q.jpg

hehehehe

io zero inawasha mzae:(:D:D

hehehe he hehehe

1 Like

At least wako top 4 :smiley:

1 Like

Eeeeeer… Which Wenger are you referring to?

1 Like

The stingy old divorcee. If Arsenal fail to qualify for UCL, there will be more pressure on him to quit. The best he can do is keep the club afloat but winning serious trophies, he can’t.

Tushatoka hata akuna haja ya kucheza na bayern na hio form lewandowski ako nayo

1 Like

Akuna venye uyu jamaa ni very stubborn… Kuna watu awafai kuchezea Arsenal; Per, Ramsey alafu Ozil anafaa viboko aache ulazy… striker na holding pia aletwe, Ospina akae kiti unless cech ameumia

Ningekua London kuna players ningepiga mawe after this game

2 Likes

[ATTACH=full]16672[/ATTACH]

Jogoo wa shamba hawiki mjini - tafakari ya babu

[ATTACH=full]16675[/ATTACH]

He he, Fshipoto ilikamua Chelsea :D:D:D:D