Arsenal

Hii timu imekataa kabisaa haitaki top 4 finish

Kikikikkkk

[ATTACH=full]235564[/ATTACH]

XTOJ
X is for extra

Ata panyaste aking’owa thread ,tunarudisha

He he msee this is more than heartbreak wacha kuumiza banae

Whats that?

Wacheni GGMU tuwakamulie another London club.

Hata unasahau kubadilisha handle?:D:D

Mimi si panyaste

Hiyo sasa inaitwa whitewash.

kumbe wewe ni panyaste :D:D:D

Hahaha…arsenal fan tv leo itafurahisha.

handwriting under stress…kuna vile…:smiley:

We avoiding Bayern

Totally understandable from Depression FC…

Man Utd tumekaza hata kabla game ianze.

kabisa

munajua chochote chaweza tokea siyo?

Circus FC ni saa ngapi.