Arsenal vs Man Utd

Lelo lelo ni leero!
Leeeloo lelo ni lelo.
Kivumbi chatimbuka…
Timū Njegaa Manchester United iko chonjo Wadau.
Je? Itakamua nyoka pale ugenini?

Man u leo atalia sana

Dalot, vdb.D, Casemiro won’t play today. Martial is 50- 50 too juu ya ile injury ya juzi.

Gabriel Yesu wa arsenal is absent too isipokua yule swift midget wao Saka yupo.

I predict a DRAW( GG).

I’m going for a Man Utd win of course. Wouldn’t bet on it though

Team kubwa Arsenal, Leo man-u wata jua
sisi sio Man city

Tingiza Mti!
Tingiza!
[ATTACH=full]491949[/ATTACH]

Arsenal wakianzisha Ben White defense hao kwisha… Rashford is too fast and agile for him

Leo lazima vijana wa Arteta wafunze Kiburi FC kandanda. 3-1

@uwesmake usiseme kitu kwa sasa, tunawapatia tu macho :D:D.

Old farts.

Wacha mwenye Swara atupee predikshen mdau

Zake huenda kinyume, na pia mganga hajigangi :D.

Today is the day the Lord has made…@uwesmake kuja kidogo baba…

Naona mnaita uwes akuje ajiwekee swara mwenyewe. Hii trick tumeionea kwa umbali kama gooners. @uwesmake pitia tu thread hadi game iishe :D. Usiseme kitu.

https://www.youtube.com/watch?v=29Nmevp9TTo

tuko nyuma ya gunners

Man utd siku hizi Sisi ni champions maker.

Nilienda mass…amekuja btw?:smiley:

Martineli to score,Xhaka to score,rashford to score,Chaka red card, rashford,CS 2:2

No penalty