Arsenal Vs City

mbona mashabiki wa haka ka-ream hawaanzishi thread au hawana saik baada’a mkwaruzo wa juzi?

http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/07/27/article-2379978-17C17044000005DC-421_634x437.jpg

shurapp sir…we swept it under the carpet.:smiley:

:):smiley:

Kichapo cha mbwa coming right up…

Link ya kustream wazito.

msitoo, tafadhali ng’oa hii thread! hii ni hujuma.

@uwesmake umeniangusha leo… Ama ni juu unajua outcome?? :D:D

Naomba livestream link wadau

Tunaumia sana bana

Kama unaeza tumia acestream enda hapa;

[MEDIA=reddit]path=%2Fr%2Fsoccerstreams%2Fcomments%2F8174i4%2F[/MEDIA]

Sasa tumefungwa wacha nilale

City 1 Arsenal 0

http://streamspn.info/tv/nbcsn

mbona stadium inakaa empty hivo?

You’ll need a bigger carpet for the above game!

Snow imezuia watu kutravel.

na ni midweek

The team has only lost 1 game at home this season, it is their away form that has been poor.

2-0…just too good for Arsenal…

Defence iko chini sana.