Arsenal vs Chelsea official thread

Sanchez unavailable, Morata on the bench. Who will win the English plate?

Blues wana kutu kwa magoti

Defence bado iko gangari

Imeamka

Courtois ni mjinga

Conte angeweka caballero on penalty

:D:DNdio maana yeye ni mbirionea

1 Like

Mimi niambiwe what kind of format was that used to take penalties? Its the first time am seeing it.

1 Like

Because ile jamaa ilikuwa na mavitu kwa sura i think pedro alipewa red so chelsea ikabaki ten men

Pamoja na morata:D:D
Anyway arsenal iko yuu

inaitwa ABBA

Community Shield: FT: Arsenal 1-1 Chelsea, Gunners win shootout 4-1 - Live - BBC Sport

1 Like

Hio Abbacus inakaa ya kipuzi sana. It should be ditched as soon as possible

Za kulipwa auze pena…birrionea kabisa
How can he? Afadhali ingeshikwa boss…lakini kupiga kigogo (flying shot) aiii

Mbona unalenga pena ya ÂŁ60m striker. Hata yake haikushikwa. Iliserereka hadi nje.

Yaani Morata ashauza…hehehe. Na goal keeper amachukua pena aje?
Btw…Mtu akisema, This is my friend Morata…si huko ni kujirudia.

2 Likes

Na je ukisema beshte yako ni Nani, si utakuwa unaulisa swali

1 Like

Nacheka tu.