1- Leo ndio LVG anaquit
2-Chelsea wa proove Walikuwa wanalet Mourinho down by beating Man u
3- Man u players to prove that they want LVG to go by loosing the game
4- Team ya ARSENAL kuchukua Top of the table today
5-last game Bournemouth played they defeated Man u and they will work harder today to stop Arsenal
predictions! predictions! predictions
Msisahau leo Southampton wamelimwa na Westham…which brings me to this qtn, why do small teams give their all whenever they play Arsenal or big teams…kusema ukweli hio game ya Arsenal na Southamptom sijawaicheki Wanyama akicheza yake yote vile alicheza io day…jamaa hadi alikuwa ameweka flag ya kenya kwa wrists zake…ukiona mkenya anaweka flag mbele jus know anakuja na ubaya. https://vid.me/B1jE