je arsenal wataweza mupenya hadi finali kweli nauliza tu wadau
Ndio mdau
apan tambua NV
Hawawezi mndau
kwani hakuna mafans wa arsena ama hawajiamini?
Atletico inawanyorosha, bet that with all your money and arsenal can keep saying ‘next season we will…’.
@A.G. Mambo???
poa.niaje?
wale walio watch game iliendaje