[ATTACH=full]473785[/ATTACH]
Arsenal leo inaingizwa.
We are leading by a goal to nil. Relax
Hiyo game imeisha aje mr. relax?
Draw…:mad:
Hizo points mbili zimetuponyoka.
The same problem we had against Leeds last week, energy ili drop off second half. We didn’t press, tulipeana ball ovyo ovyo mara mob sana, na impact subs hawakuchange game. First 11 looked tired as fuck second half. Vile naona heri Arteta acheze team B Europa na Team A premier league. Team B pia iko sawa. He can make changes when he feels necessary. Lakini kuchezesha 1st team thursday halafu sunday mko na away game tight si poa. Those players didn’t have enough time to recover and they couldn’t play with the same intensity 2nd half the way they played 1st half. Na Jesus alikuwa na 2 good chances za kumaliza game lakini finishing yake haikuwa leo.
Pointi ni moja. Mkipatana na man city mpigwe kama humbwer. Hapo juu mlikuwa Kwa muda. Your time is up. Kabla world cup ianze mtakuwa huko Chini.
Tutaona
Depth issues starting to crop up .An injury on one or two key players na mtakua mnacheza huko number 8 .
Top 4 lazima this season. Nambe nane tumeachia kina liverfools
:D:D:D:D manjesta mnamathongo na sisi. Arsenal are doing their best but manjesta mnaskia tu kuturushia missile mtumalize
Mambo ni pole pole tu