3 Nil na katimu kadogo. At least tulicharazwa tukiwa away. Leo haters wa Arsenali watalala na viatu.
Man Useless as usual wanatandikwa nyumbani kwao. Hio naona ikiisha 5 Nil.
3 Nil na katimu kadogo. At least tulicharazwa tukiwa away. Leo haters wa Arsenali watalala na viatu.
Man Useless as usual wanatandikwa nyumbani kwao. Hio naona ikiisha 5 Nil.
Yenyewe we played like shit.
Arteta angechezesha first eleven ya kawaida and be sure ana win alafu achezeshe team B kama ako two goals up. Na hi ndio atafanya mistake ya last season
Not just yesterday, use present continuous language when describing your teams performance mdau
Arsenal playing rough na ref favoring them, mbwakin nyinyi. Tuko nyuma ya Newcastle
Hiio VAR imetafuta makosa sana.
Possible out of play
Possible foul
Possible off side
Possible penalty for arsenal
Possible goal kick…
Zote zimegonga ukuta
Toa ndani
Arsenal wamerambwa na Newcastle. Peaceful weekend it shall be
Monday tuko nyuma ya Tottenham.