Arsenal milking a nyoks

Relegation bound Everton is facing top of the table pace setters.
Mwenye Swara @uwesmake and @kush yule mnono priss toeni maoni.

apo sawa

Game imekuwa ngumu

Wings imekataa but Arsenal players hawaoni

Kwanza Martinelli nigga can’t cross the ball, heri trossard angeanza

Everton tuna kamua chokosh wa randan

tunakamuliwa bana

1-0 :smiley:

Everton mnasumbua bana

Arsenal wamenyamaza

:mad::mad:@Electronics4u mbona kutuwekea antelope

Moto wa karatasi umezimwa.

Penda sana.

Mancity washinde game at hand zibaki 2 points. Halafu wapatane hao ghasia wa London. Wawalime kama mburukenge. That’s how Assmeffi will wait for another 20 years washinde ligi.
Team ya maumbwaaa.

Wacha niweke zile as @uwesmake;
:D:D:D:D:D:D:D:D
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Tunawacheki tu. [ATTACH=full]494155[/ATTACH]

The last time assnol won the league mama ya huyu Mtoto alikuwa lower primary. Mtangoja the next 40 years.

Coming back down sooner or later

[MEDIA=twitter]1621877922503200768[/MEDIA]

Leo nayo nmechoka. Ama Arteta alionwa za macho?

[ATTACH=full]494158[/ATTACH]

I knew arsenal were going to lose two to three games after defeating man u. Hio team huwa swara.