Arsenal inacharaza Liverfools 4 Nil

Leo tuko nyumbani kwetu.

Tunatandika hao vijana wa Klopp NNE kwa NUKTA.

Kujeni mconfirm hii maneno full time.

1 Like

As much as I hate to admit it, I secretly admire the delusion of arsenal fans. I think only certain women would relate to such levels of delusions of grandeur.

Full time Assnol 1-2 Fools

1 Like

Ass n all mnarambwa

I am an arsenal fan but I am afraid to say Leo tunaweza rambwa vibaya na Liverfool . Those boys are onto something dangerous and they appear determined to win the EPL liwe liwalo. Our clueless coach is still fumbling around with our usual squad. Anyway let’s wait and see

1 Like

Full time huyu jamaa atarudi hapa na excuses.
Ngoja uone.

Mbitika wacha jokes.

Tunaingiza nne wapende wasipende.

2-1 win for Liverpool. Who has working link ya ku watch?

Leo ni Ile siku…aki Mungu saidia

1 Like

Waaaaaaai Havertz ndio striker!!! It’s over…

20240118_091651

1 Like

Hehehe!

Na mambo bado. Tatu zingine ndio hizi zinakuom.

1 Like

Sasa nini hio Sasa!!!

Niliwaambia nini?

1 Like

Buda kwa nini umenyamaza ivo? Na vile mchaba ulikua umekam na fujo?

1 Like

NYOKa amemaliswa

Tuliza bolingo na ngai boss. You and I both know thay game was the exception not the rule. Liverpool were shit. We will be back to regular programming very soon