Are we not entertained?
@Dudu1 uskii chelsea ndio bado haijapiga hawa watu.
5-1 it is…
Are we not entertained?
@Dudu1 uskii chelsea ndio bado haijapiga hawa watu.
5-1 it is…
Congratulations sir, Kwanza that last goal imenibamba sana. Niko club and everyone is up dancing in joy banae…ata wamemwaga pombe yangu
Hao vijana ni wakali…ilikuwa kama chess game.
We want real madrid and bayern munich…
In the meantime
Wamefanyaa justice…
Hata kama timu yetu imeshindwo tumesikia musuri kiasi…
Congrats Arsenali
It has never felt this good…thrashing man city si ya kila mtu.
Leo ilikuwa ni war
tumechoka na kelele zenyu kule WhatsApp status
EPL hujengea watu weekends sana. Kuna wasee walitoka kitengela kuja ku watch game sides za kangundo road banae…