Arror was right

Wengi wenu mlitusi yeye. Chris Kirubi alisikiza yeye.
[MEDIA=twitter]1387387370543140868[/MEDIA]

Hapo kwa 6.4b sikukosa kakitu…

4.6 msee. Kwani macho zako ziko inverted upside down?

Error of commission mdau.

People are making good money from exporting Hass avocados but watu wa Ript Palle are still stuck with growing maize

Upusssss!

Wacha wivu. Tuma till number nikurushie kakitu.

Niko Algarve International Circuit for this weekend’s Portuguese GP. Huku akuna hio vitu mnaita sijui angaa till whatever

Sasa juu wewe uliskiza yeye, wapi yako? Au ulitumia his advise to wank?

Wewe ukakafunga watu hawawezi pumua huku.

as kalenjins hatuko wepesi wa kuembrace new ideas haraka ivo. we act after careful calculations, tutaangalia ii maneno after Ruto kuchukua kiti 2022

Miano,umerudi grand pricks? …tuma picha na usisahau kuficha sura,we got sleuths here watatambua ile kunguru yako nilinyoa last november so usipige na yeye

Kinyozi hapana tusizoeane ivii boss