Arriving for the weekend

Napark private jet wapi
[ATTACH=full]57770[/ATTACH] [ATTACH=full]57771[/ATTACH] [ATTACH=full]57773[/ATTACH]

huo mkono Jo, kai urutaga wira uriku sir.

KUJA hapa nairobi west tukunywe changaa ya India .

Ha ha ha, niaje unatoanisha huyu msee hivyo?

kwani umekuwa mhanithimake. Unaitia dume Crazy Cock.

wapi @Chloe ndiye tunakubalisha mkono kama hiyo juu ya koroga Kwa site

Angalau ungelipia premier world, sasa uko coach na unajichocha private jet

:D:D:D:D

Bro, kanyagia hiyo sweep session.

huo mkono umechimba hata migodi…:D:D:D:D:D

na si unapenda hiyo trao mzae! ile mbisha uliweka ile time ya “hot seat” bado ndio hii na ni friday, what happened to dressing down?

sio Kwa ubaya lakini huyu Jamaa ametokea tu after mazishi ya pre historic Ntimama. Nilikuwa najua tu yeye ni Njoroge Ntimama Odhis

Wale walisema ati Matin Luther black!..Hawajaona hivyo viganja

Hahahaha

House I hope umekuja na candles ama whiteout?

In case you absorb all the light

Nimelipenda hilo gitaa lako kaka. Ijumaa hii walicheza wapi?

Aki mtachhana na Mkono wangu. Attention real pink handles…wamacho sio wa lugha…[SIZE=1]sounds better in Greek[/SIZE]

Mabenda… Ni organise a nice box guitar. Not the small one.

nashangaa majamaa hata hawaoni mguu hapo pic 1…:stuck_out_tongue:

inaweza kua ni wife ama relatives ndio maana hatucomment. Mabenda hatutaki kuhurt your feelings

Cheap axe!