Armageddon IV: How to trap a Luhya

Shi nirikwabia!

Hehehe.
Bong got unblocked.

1 Like

Hujaona hapo ni cross na warthog?

1 Like

Waah, watu wengine wanafaa waandike scripts za series. Eti Iguanaress:D:D:eek:

heheheh…that’s not a viking on the faxe can. its the devil himself :D:D

4 Likes

Hehehe.
No wonder Afande never stood a chance.
Faxe = mkojo ya Saitan…

3 Likes

@introvert hiyo mikono ya akina pamba ni aje?

1 Like

afande. unajua kujipiga sweep ni nini?
ile mambo hii picha itakuletea itabidi umalize all pendig hekayas ili ufurahishe miungu wa kijiji wakuonee huruma

2 Likes

[QUOTime Fala 12, post: 694072, member: 118"]afande. unajua kujipiga sweep ni nini?
ile mambo hii picha itakuletea itabidi umalize all pendig hekayas ili ufurahishe miungu wa kijiji wakuonee huruma
[/QUOTE]

Fixt,ime Malaysia hope introvert ajaichora:rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Fixt,ime Malaysia hope introvert ajaichora:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
[/QUOTE]

mwoga we…

1 Like

Side handles

mwoga we…
[/QUOTE]

Muoga huishi siku mingi huko ni samia bugwe in Uganda,nilikuwa nimetembelea kwa kina maternal mother, naweza kuwa connected na mbicha zingine:D:D:D

1 Like

Ulifikisha wapi na ubadilishe avatar tuwache ufisi ya bure.

Fixt,ime Malaysia hope introvert ajaichora:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
[/QUOTE]

hio picha ikisemekana ipostiwe hapa utashangaa

1 Like

hio picha ikisemekana ipostiwe hapa utashangaa
[/QUOTE]

Leo hawana bundles, ni elders wachache wako kwa kijiji:D:D:D

1 Like

Leo hawana bundles, ni elders wachache wako kwa kijiji:D:D:D
[/QUOTE]

hio picha imeongeza episodes kama mbili kwa armagedon series

2 Likes

Cuzo wa huyu msee…
[ATTACH=full]66503[/ATTACH]

1 Like

Anko, tujulishe ile siku Mama Clichy atakuwa anasign mabooks.
Mafans watakuwa wengi.

1 Like

Fixt,ime Malaysia hope introvert ajaichora:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
[/QUOTE]

Mental photo. Pap.
Hehehe…

1 Like

:D:D:D:D:D Eti Agent Kabeach? :D:D:D:D