arenali hatucheki

kijana wetu Chambo ashafunga moja

[ATTACH=full]64297[/ATTACH]

Arenali ni ngombe gani?

Ango umelewa

Swafi the Ox

kidogo tu but tunauwa nyoka hapaa

hakunaa goal line technology kwa carling cup ? tunaibiwa bwanaaaaa

Haikuingia wewe mluhya mjinga

iwobi naye anauza banaaa

Niko 3D SQNY Ultra HDTV na inakuja na feature ya goal line technology.:cool:

Chambo 2 - whatever 0

but Wenger ni fala vile Carzola ako injury angerudisha chambo first team si kumchezesha hii game ya umama

Chamberlain…wht a shot 2-0

Xhaka atacheza wapi Chambo akiwekwa mid?

enda uone uefa plastic cup kwa hio SQNY yako

Xhaka , Coquelin , Elneny ni ma holding midfielders , we need an attacking midfielder kwa game .

Hiyo tunajitoa very soon uncle.
Hatutaki trophy za upussy.

nani amegundua @Mzee mzima anaanza kucoment saa sita ya usiku ? hio ndio time anaiba simu ya madhe time amelala

pia @WuTang ako active sanaa usiku mpaka saa kumi , huyu anafanya kazi na Ben Gethi ama Patni

Acha kunimulika uncle.

swafi Arsenali tuko through Totenchieth imeenda nyumbani .

wacha tuone panya za manchester kesho zikikutana nitakuwa nyuma ya Man city . but hii carling cup ni upus hata wenger haitambuangi . yafaa tuwachie team za relegation zichukue hii upuss vile wenger hufanya .