Are you superstitious?

do u believe in superstion and juju…

ok mimi kama tommy used to say hii ni upuzi
nothing like this…
until an incident happen in msa kisauni @Meria Mata najuwa uliskia hii 411

some waganga were called all the way from Tz to perform a ritual juu iyo area watu walikuwa wana die ovyo …so waganga wakafika na kuanza maneno yao …they were 3 of them…wakifanya izo mambo zao …moja wao his hand got stuck in a hole. na ikakataa kutoka akavurutwa na raiya yote lakini wapi…
alipokuwa release aka anguka na kufaint…

wa pili mkono nayo ikakuwa par·a·lyzed na jamaa akafaint :smiley:

ilikuwa drama tupu ililetwa hadi kwa news…

then kuna heka ingine nilichapiwa na msee akifika kejani akizima stima anaskia vitu jikoni na akiamka anapataa chakula zimekuliwa kama alikuwa ambakisha…

so siku moja akafunika sufuria vizuri hadi akawekelea sufuria kubwa juu ya sufuria na akweka vitabu design kama ni paka haiwezi faulu kuget izo chakula…the next day…chakula ilikuwa imekuliwa kama kawaida…

so boyz aka amua hii paka itajuwa yeye ni nani
:smiley:
boy akazima stima kama kawaida na alikuwa na rungu ready to strike…usiku akaskia kwa ventlation paka iki ingia ikarukia meza…boy anacheki shadow ya paka…
paka ilipotu ingia jikoni jamaa akawasha lights na kutime paka .paka nayo kuona stima nikutafuta escape root…pale imezoea…kutokea…
jamaa akapiga rungu ya uso…paka ika anguka …then ikarudi jikoni kujificha…jamaa kuenda kustrike tena ikatoka mbio na kurukia exit…ikatoka

jamaa come morning akienda job…anapatana na landlord amefura uso akamuambiya vacate my house today …

wewe uko na heka.ya izi superstitious behaviours?
.

8 Likes

:eek::eek::eek::eek:

:D:D:D:D:D umenikausha mbavu woi

2 Likes

umenichekesha sana landi ndio alikua paka jini

Angeeka laxative ama mchele kwa food

2 Likes

hehe ati ambakisha

1 Like

Strange but true tales in mombasa, hadi kuna place yaitwa stage ya paka.
Hawa paka ambao wanajibadilisha kuwa binadamu wanaitwa mwanga.
So many hekayas abound of people being dfhkm at night. Others also miss money in the morning.
Apart from the blood of Jesus christ guys also use pig bones for protection. Mafundi ndio hujionea maneno wakienda tengeza ceilings na balconies.

5 Likes

Yani what your friend was saying was that the landlord was the cat na alikua anaenda tu kula food zake , kwani alikua mpishi hodari aje?

I believe if there is light then darkness exists pia

1 Like

:eek::eek::eek::eek: wale waganga wa ktalk wako wapi wafafanue

kiero giaku ni gitune?ati uko na black spots kwa ulimi?he he he he

No my kiero is not red but I do have dark spots around the tip of my tongue

Apart from the blood of Jesus christ guys also use pig bones for protection.

Where can I get a pint of that blood?

@Atheismo might help on this coz some guys believe they drink it every Sunday

1 Like

Kuna wasee wa rongai walikuwa wanapika then wakieka kwa hotpot wapeleke sitting room wanakuta imegeuka mchanga. Pia kuna stories niliskia wasee waliingia keja haunted so daughter was io keja alikuwa anasumbuliwa but wasee wanasema anajoke so siku moja akavutwa na madimoni asubuhi akaona mark ya black ya mikono kwa nightdress ya white…walihama io day.
Alafu pia tukiwa ryma kuna student alibuy sharpener voi sasa day moja akaieka ndani ya bible ile haraka ya kwenda lunch…kurudi kutoka lunch.sharpener haikuwa:D:Dna so wizi jui alilock na padlock

Hiyo ya landlord imenimalisa, :D:D:D:D

kuna ingine bibi akatoroka kwa bwana yake ,bwana hakumuendea alituma maevil agent wake ,walisumbua hio boma mpaka bibi akakubali kujirudisha,mama mwingine mwingine wa huko mzee ikikuwa inamutoa suruali inamupiga na slippers kwa matako

4 Likes

na ingine iligonga jamaa mwingine ngumi akichungulia iki dry fry step mother yake,hata saa hii hio jicho iliharibika kabisa

1 Like

:D:D:D:D…Io part ya landlord umetuchocha but I can stop laughing…:D:D:D

3 Likes

kisauni kuna maneno…