I woke up with a headache
I felt sore throat
I felt so lazy to go to work
Kufungua kazi customer wakwanza akakopa .
Nikaishiwa na nguvu kabisa.
Nikiwa nimetulia kplc ndio hao , hawakukata but total bill ni 3500/=
Woi nikasikia Sasa roho imenidunda…
Sahii naona sms ya wyf nitume pesa ya nywele …
Plz mutahi kagwe Kuna one more room au
Huyu ni wewe
[MEDIA=twitter]1255058739645878272[/MEDIA]
Huyo pahali hao makarao watampata tena wacha mbagathi atajipata kenyatta.
[ATTACH=full]299433[/ATTACH]
How come hujasikia it is not for free? Quarantine in Kenya lazima utoe…kazana na job.
epoch
6
[ATTACH=full]299441[/ATTACH]