Are some friends worth it ?

4 months ago my childhood buddy calls me "machaa siuniokolee na 3k nitarefund " me been the stupid me coz jamaa tumesomaa pamoja I sent the money bearing in mind he also had some other 2k he didn’t repay …
This guy has a job , a well paying job infact … rarely do I hang out with him …mimi humuona fbk akihang out na bigboyz wale wa subaru na mimi ni yule mtu wa bodaboda …
This fella b4 he made it I remember tukihustle pamoja hadi nikamchora kwa shop ya play station…

Do people only remember you waking na financial difficulty?

human beings are like that, you’re only important when they’re sponging off you.

It hurt knowing the fool tumesoma hadi primary skul pamoja …

na hawanaga shukran
[ATTACH=full]477508[/ATTACH]

This is outright rude from that idiot. Ama pengine nyinyi huongea hivo juu my buddies pia nikupigana tu masweep tukiongea.

:D:D:Dkizungu mingi ju ya ngiri 2:D

You think you are helping them while hao wanafikiria ati wewe ni fala. Its sad. He will also Ask you for the third time without blinking an eye.

Ngiri si ile ya kitambo,inflation imedevalue sana Kenya shilling

Kama wewe ni mtu focused na life punguza marafiki ubaki na wenye unaona munaeza saidiana kimiradi

Saa ingine watu hukwama na wanakumbuka random kind people who helped them.
If you can saidia but kuwa na “friendship won’t end” amount. Mine is 2k. Ile hata ukikosa kunilipa sitacut ties.
If you feel amekukumbuka just for the money, mwambie hata wewe uko mbaya maybe another time.
Or kama ni mtu halipangi just tell him outright hutampea coz haitarudi na you can’t afford to just give out money, unless Kuna collateral

Unaongezeaje mtu mkopo na bado unamdai?

Kama ya kwanza hajalipa, mkumbushe io ju anakubeba wana.