Are they allowed on the front grill like police cars?
In a shit-hole country like Kenya, anything is allowed if you are wealthy enough to buy your way out if caught.
Sheria ni za peasants madam.
strobe lights are illegal if you are not in the armed/disciplined forces, fire brigade or ambulance.
but this is also…Kenya
Unless you are Reverend Natasha or the other quack with a long beard.
Kama vinyambi ziko allowed anaything goes in this jungle.
Sadly yes, they’re considered decorative. What is illegal is the siren and strobe lights
Juzi naona jalopy imechoka iko na hizo lights. Sijui jama alikuwa na haraka ya kwenda wapi. Mimi siondokeangi hizo gari ziko na hizo lights. They are always in a hurry to go nowhere. Kama wako na haraka ni watoke mapema waanze safari
Are you a snitch by any chance?
Uliskia hii kutoka kwa mdomo ya ahmednasir abdullahi kule Churchill live?
Dont know what your talking about bro
Izo lights ni decoration tu. Lakini vile wakenya ni eunuchs, wakiona gari ina izo lights wanafikiria huyo ni mungu wao wanafaa kumuondokea apite.
Kenyans wako illiterate. Serikali ilitoa list ya wale watu wako na right of way, less than 15 people, lakini kila siku wakenya wanaondokea mtu yyote ako na taa ya blue na red.
Mkenya hasaidiki. Hana akili. Hajiheshimu.
Na si wewe ni mwerevu sana. Ukiona gari iko na hizo lights nyuma yako unafunguaga list yenye serikali ilitoa to confirm whether that car is in the list. Then you make the wise informed decision. Time saving and very safe you see? Mr. Elite
kuwa serious wewe. watu wenye wako na right of way huwa na gari ya police mbele kuclear traffic. kama hakuna gk ama gari ya police then hapana ondokea wao.
Lakini kama ivo ndio mnaogopa watu barabarani, ata kwa soko cartels wa mikokoteni watakalia nyinyi.
mabibi zenu huko ocha watapea assistant chief priority kuchota maji kwa kisima hapo kwa village. Watoto wenu watapea watoto wa matajiri priority wakienda kuchukua chakula DH huko shule.
Mtapea wao priority kwa nafasi za kazi ili kusave time na kuwa safe. Mtapea wao priority kupata tender za serikali ili msave time na muwe safe.
In my experience the authentic ones usually have men in suits with walkie talkies and the windows rolled down so you can see them. They also have sirens (not just lights) in the grille. And it is never just one car. So if a vehicle doesn’t have all those then they are not real VIPs or police/emergency services.
The strobe lights should be roof mounted. Hizo zingine sijui ni gani mnasema. How will you see the men have suits, have walkie talkies through the side mirror? Remember they are behind you. Ama mnamaanisha oncoming?
Inakaa wewe ni mgeni Nairobi. You will learn to spot posers in a VX from real armoured SUVs in due time.
Hata siyuko kenya
Now people are even putting the sirens on their private cars now.
Now?
Hujapatana na wannabes wa Subaru na wakora wa v8 na hizo ushenzi. Ata radio call wanaweka na kununua fake walkie talkies