Nmeenda ocha na madem wamechapa sana. Ni weusi na hawajui kuoga! mwingine amesema niko na sura mbaya. Hajui mi ni msee wa Nai Kawangware area. natafuta aramis hapa mwitokho nitumie. Nalaani Christmas sana!!
inakaa shida yako si ya sura pekee…
umeff tupu !! you owe me three seconds of my life for the time I spent loading and reading through this umeff
Aramis ??
Sisi Twajua Arimis…Ng’ombe ya Museveni !!!
Shemale
[ATTACH=full]73566[/ATTACH]
He should be following the flock back to museveni.
he he…more horn than the good stuff in the head? aambiwe kazi ya pembe iliisha na muratina ya guka…
Not following…Actually Leading that herd !!!
Buda kwenu ni kwenu bana. Si ati unakuja Nairobi miaka chache halafu unasema eti wengine hata hawajui kuoga na ho ndio madem ulikuwa unadinya growing up.
Nyumbani ni nyumbani.
so u are from ongwaro alafu unaringa ivo… meffi
Kuchapa ni nini? Fafanua.
Purr wacha hizo
huyu msee ndio inakaa haogi. Anakaa ameparara anafanana avatar ya ugly face @Gio hata hakuna Dame anamtaka. did he say Kawangware?
NV ulinijuaje?
Haha Talkers waneza kukutoboa mashimo mashimo na wakuwekee acid ama makaa moto kwa izo injuries.
:D:D:D