AppleBee Sick

Wadau fever imetwanga mimi all day. Sijatoka kwa kitanda.

Applebee has realized that health is wealth and money means nothing when your body inatandikwa na small small fever.

3 Likes

Shika jaba na chrome. Thank me later

Chapa concotion ya vodka+lemon+honey alafu umeze brufen

1 Like

Kula siafu na ugali hautawahi kuwa msik ovyo ovyo.

Anyway iza kaka. Utapata nafuu soonest

1 Like

Kumbe elders care…walahi sijui mbona nacheka

1 Like

Despite the jokes & insults elders want everyone to win and in good health

2 Likes

Umepimwa okedi? Si ulikua unadry fry Malaya huko ohio

1 Like

Dry fry battalion wanakapitia lately. Get well soon

1 Like

Enda Osi befor u luwere.

In case you luwere, nishike shamba hapo garden of eden

1 Like

QR kijana.yangu.
Ugua pole na Lucozed

1 Like

Umepata kisonono ya kutoka Moroco. Kimbia hosi.

Ktalk Huwa funny, at times it feels like unajuana in person na elders. Elders hapa are genuine “friends”.

1 Like

Wadau, I just woke up and my fever is almost gone. Wacha I finish it with a heavy breakfast. Maisha ni fupi I thought I was going to sayuni.

Pole sana elder.Fever is usually a sign of infection.Fika hosi they test your blood.Otherwise quick recovery elder.

3 Likes

Huyu alienda Yues na njaa mingi akatwanga McDonalds mpaka sasa analia kama mtoto, “mummy tumbo inaniuma.”

1 Like

Bado uko SJ kijanaa

Ule mwarabu alikuchoma kizee

Uyo ni mweupe kama pamba

Lazima tutoke tukatafute za kulipiana rent :joy:

Its high time we need a grand burial… Kufa! Ghassia!

1 Like