Je ni wakati sasa wa kuiondoa app ya Jf kwenye simu zetu.
Au nikama kubomoa nyumba kwa sababu umepata hifadhi kwenye makambi ya wakimbizi?
Kama inakujazia nafasi bure kama mimi ifutilie mbali. Jf ikirudi hewani unairudisha.
App sio kama nyumba, unaweza kuirudisha muda wowote ukitaka kinachohitajika ni wewe na bando lako…
Kama inakujazia nafasi potezea
Umeniiga Mimi!
Teh…
Maana na Mimi nimefanya km wewe! JF ikirudi nami nitairudisha!
Yes haina kazi kwa sasa.
Kwakwli. Yani mimi hadi muda mwingine najisahau kuifungua.ikishagoma ndio nakumbuka.
Mazoea mabaya kweli aisee.
Yote mawili ni majibu sahihi please
Mimi siitoi kwenye simu yangu,maana kila baada ya dk 5 uwa natest mitambo kwa kuifungua iwapo isharudi hewani
Na ikirudi hatutapokea member wapya, mtabaki huku huku:)![]()
Wewe uko kama mimi
kwanini tusirudi mkuu?
wakati kama ni ukimbizi hata wewe sasa u mkimbizi?
Teh teh tehhh
Za ivi kuna BF
Mimi naona kama usaliti kuifuta
Acheni matusi kwa Mello
Hajatukanwa mtu hapo mkuu…
Mello ni mkuu sana siwezi thubutu kumtusi atanichukue uraia wa Kenya