APOLOGY FROM TOMMY TLS

first l miss you guys…especially lovie wangu Lola :slight_smile:

poleni kupote…sijapotea kwa ubaya niko busy prediction kings we winning uko and lossing some…

thanks kwa wale wamenijulia hali…l promise to be posting 4 games here daily …

mtu huwa hasahau pale ametoka

when l started Prediction king tulianza kama jokes sasa its serious bussines

big members original from hapa
akina
Touch
Aria
purr
focus
edwin
hot blooded
leone

na bwoy wangu @123 tulianza gambling mapema Respect kaka

na pia Admin for the platform nashuku bro

am humbled…as of last month we were the most succesful group in the country…
na sio kunichocha l think in Africa

salute wale wasee nikipeana prediction then ifail they dont call me bure wewe sparta …Fala hii but encourage me

wakishinda They Appreciate me na chai kiasi or credo…Nashukuru sana

also wale wana spread the word…I get over 100 messages to add pple lakini pole lf l dont reply to all…poleni nilifunga Link juu sitaki kuflood na watu…

I also have a day job sometimes got clients sipati time ya kuchambua…Thanks for understanding…

Also nimepata 4 clients the stake 20k maximum per bet l give them and l get 15 % percent as appreciation…

l only give them single bets…

nashukuru today l gave out game ya Finland ya Haka over 2.5 but ikakojoa :frowning:

Nilitense hadi makei …lakini they did loss faith in me…hakuna aliye nitukana

BIG UP

sitapotea tena kesho naweka heka …

Nashukuru nyinyi ndio mumenijenga…

RESPECT ALL

NA PIA VILE MEMBERS HUKUWA MATURE KWA GROUP UTOTO YA KENYANLIST NA KTALK NA MAMBO YA NGWATI NA KUKATIANA HAKUNA PREDICTION KING

RESPECT

9 Likes

Uko Na float kaa ya ngapi tokea uanze kukalisha makei chini Na Ku analyse?

niliweka bet yangu ya kwanza last sato.
won some lost a number.
prediction kings iko yuu

1 Like

on a bad day 3k profit

4 Likes

hongera,kwa hivyo uliacha kuuza ngwati za mashaitan mashoga?

1 Like

@Lola- siku hizi hugawa slices kwa @kiLo-

1 Like

Hapana tambua Kitunguu kwa betting,mimi nikutafuta section kwa raia bila kubembeleza.

1 Like

[ATTACH=full]46071[/ATTACH]

Tommy float yako ya betting ni how much.

Daily na anza na 5k

tangu uanze betting umetengeneza ngapi?

hapo sawa kaka i like your work

5K IT IS, FROM TOMORROW NIKO NA WEWE HAPA KWA HAPA.

Mshahara ya posho mill imeingia?

haha mimi huyu hapa

1 Like