Apartheid in Thika

I have just discovered in Thika kuna place blecks aren’t allowed to mix with Indians.

Apparently kuna kinyozi for Indians only. Ukiingia na hio sura yako nyeusi kama ya @Sura Ngumu unafukuzwa kama mbwa.

Kuna shop pia that sells to Indians only. How this is allowed to continue sijui considering India is the most racist country on earth.

Kenya tunakuanga tumejipea sana kwa anyone with a white skin as if yeye ni mungu. If this happened in South Africa kungekuwa kumechomwa kitambo.

effidence ama wamekuona unaka chokora

Hakuna makosa hapo. Ata mimi ningekuwa na kinyozi siwezi kubali mzungu hapo, ngozi yao hukaa ya chura

Kenyans we are too submissive for our own good.

Name the business!

Yap. There is a kinyozi that charge 300/- in Indian Neigbourhood and a hardware that employs Indians staff only to serve customers but drivers are fellow kenyans. Mjengo and BIDCO sneek illegal immigrants and settle them in exclusive apartments and transported them to and fro with company cars.

Loaders lazima ni nyeuthi pia juu sioni muindi akiinua simiti successfully na aeke kwa gari.

Ambapo mtu kama @Jimit hawezi kubaliwa huko?

Sometimes we should be open minded. In Europe i go to afro salons because jungus might have s problem with dealing with my hair. People know thats a nyeuthi joint. Si ubaguzi.
You will probably see no bleks going into a Sushi restaurant. Or Allah akbars lining up to enter a pork chop kiosk.
Lakini we know patels are racist the same way ukabila inatusumbuwa.

Yaani hizi vinyozi zimejaa kila corner bado kuna.mtu anawika racism akikatazwa kuingia kwa.moja?

The reason why mhindis do that ni juu ya kitu waafrika are very poor at; honesty and ability to take in simple instructions. Unaandika jamaa na simple instructions; vitu zikitoka kwa store record them in a particular way na key ya store cheza nayo pekee yako. What does nywele ngumu do? Anaanza ukora ndogo ndogo na wasee wa delivery halafu kama ni mluhya utapata key amepeana akienda kufukuzana na kuma.

Kuna kinyozi ya mhindi south C haircut ni 800 - Other kinyozis in the center 200-300.

Jameni Wabukusu walikufanya nini? :smiley:

He is trying to initiate a chokosh war with ango uwes but amekata kuingia box.

I have never had any issues with businesses that have niche markets. Ni kama kuwa na Chinese ama Italian restaurant

this is good news to @Truman kapotty

[ATTACH=full]496992[/ATTACH]

Agreed. Kila mtu na their culture. I live in an arab populated area and I only go to the kikuyu looking barber. I arent paying 500 kunyoa jordan. We all know those indian shops style their hair ata na relaxer etc nikama salon.

@TrumanCapote hapendi comment ka hizi.

As long as they serve everyone who cares to drop by.

Unaandika MKenya, kazi ni kukuibia. What do you expect.

Don’t bring me into stories about Indians, I am strictly and I mean strictly junguuuu.