The guy has an 8-5 job. Ni ngumu (not impossible) kuanza biashara halafu ubaki in your 8-5 job. Biz kwanza start-up hutaka 100% commitment. Ndio maana watu wa ofisi hustruggle kuanza side hustles juu wataibiwa tuu na employees. Ukiamua kuwa mtu wa ofisi scale the corporate ladder hadi c-suite and make passive investments biz wachia watu wa streets kama sisi. Alternatively anza biz you have complete control kama vile Maina ama Jeff hukuwa MCs kwa corporate events - those are businesses they have complete control over. Most nascent businesses require the founder to have an iron grip on affairs and to understand every square inch for at least five years before even thinking of delegating managerial duties.
biashara huanza from scratch unaenda ukipanda… hio yake alitumia pesa mingi kuestablish haikuwa for capital gains ni show off tu. kama ingekuwa ya profit ingekuwa simple
Kuna business coach alisema ati a huge number of .ke startup sme’s fail because of the owner concentrating to much on “kutisha watu” with what “watu” can see but the services or products are mediocre.
every established business huanza chini kabisa na the owner huelewa every detail inahusu hio biashara. With time is when anaendeleea akidelegate kwa sababu anajua shortcut zote so huwezi kuiba chochote as a staff. Mwishowe inakuwa kubwa unakuwa na managers business inakuwa established. Angalia kama mwenye kenchic alianza from scratch na sahii business is booming na huwezi hata mjua. No short cut to success.