Anyone with solution?

Nani anajua njia ya kubypass “Dear customer, your number is not authorized to use this service”?. Hii ni ya wale wanajua hiyo ni nini.

hapa tunajua tu njia ya kwenda bypass na number ya matatu 145:eek:

3 Likes

Saa zile inaanza ‘Dear kastoma…’ unadunga mute for 5-7 seconds. Utakuwa umebypass hio mushene…

3 Likes

Na southern bypass mtu hutumia gani?

haha io sijui

145 S

Keti pale ------------»»

:D:D

Okoa jahazi pap! Ulipatwa na Mshwari ama?