Another Wanyonyi wins gold in 800m race

[ATTACH=full]381645[/ATTACH]

Wanyonyi Kuna vile alitoka nduki hapo mwisho nikadhani ni rudisha. Sasa waluhya wakianza kutoka mbio hivi si ma kuku zitaona shida. Unaskia … “kwe kwe” … ukiangalia hivi unaona vumbi tu.

Huyu si pure lunje.

Pumbavu :D:D:D

Hakuna mkale amejitokeza kusema ni baba yake

We are very happy the way @uwesmake brothers have captured the short races by surprise. Baba Cliché mbona zamani hamkuwa mnakimbia?

Bukusus we are taking over the industry , wakale tunawaweka nje sasa

Seems like so

Hawa ni crossbreeds za Luhya and Kalenjins. Its either that ama waliambiwa watapewa ingoho wakishinda :smiley: