Another Great Day

To thank the GREAT Government of Kenya under President William Ruto for the roads, bridges, dams, railways, lights, subsidies, safety, security, visibility & facilitation.

Ghasiaa @sani kwani leo umeamua kumumunya mapema aje hadi zimeshika tayari.

Huyu bado hajafanya chechote bado anasema atafanya, you should be thanking ohuru for all those.

[ATTACH=full]497559[/ATTACH]

Kama ungekua hapa last year, you’d have known that @sani fell out with this government immediately the cabinet was unveiled.
This is a sarcastic post.
Degree muhimu sana

Sawa, bado napambana na ile free online degree ya Arizona.

Yaani John-Chang’aa bado unalamba matako ya Konyagi?

@sani olenguruone iko aje. Kuna dalili ya mvua ama namna gani bana. Tafuta ile orkoiyot dorobo @il torobo muende mau muombee the gods of the rains afanye kitu banae. Ni kubaya saidi elder na inkaa ile ya Arror ilikua chocha hot air tupu. Ghasiaa nikaa ili jinx mvua instead … sahii ukame hata ndo imezidi. Nabii as it turns out ni prophet of doom … mtu bloody fuckin’ sana.

Jah bless