ANOTHER DAY KWA GHETTO

Wakubwa ndo natoka base… Uko nimeacha tumebishana sana… Wanaume pia wanajua kubanja, yaani mtu huwez mskizia any… Tumekalia mawe kidogo, Cheche akaleta story za prenup!! Mimi ata kidogo nidunde, Cheche mmoja!! Amejua aje story ya prenup?? Lakini juu alikua juu ya matawi nikachorea… Btw io matawi sikulagi, io nliachia mbuzi…

Anyway discussion imewaka nare alaf kuzidisha ngeus zilikua ndane… Cc kama maboyz tukasema leo izi vifaa lazima zitatii, juzi discussion ya abortion walitushinda leo nayo aiwez, heri pakufe mtu… Mwende ndo uyo na ile kitambaa yake ya nywele, chatty chatty auwez msikizia… Hii kifaa mi ushangaa kuna ndume itatoa mahari apa?? Io ndo kutupa thirty bob acha mbao… Bobo na vile ni kafupi pia ataki kuskizwa… Ngeus zilikua zinasema ety hakuna venye zinawez kubali kumarika na chali anadai prenup cc nao tunakataa io maneno…

Mimi kwanza io story ni very dear to my heart juu najua maziwa (kakitu) ntakua nayo na akuna venye ntaoa mtu na akose kusign mali yangu iende na mae… AIWEZ!!! So watu yangu, nawauliza wenye mmeoa hii kitu mlifanyaje wife akasign???

@Akeelah c kwa ubaya bae lakini e maneno lazima utasign, ni ishara ya upendo :slight_smile:

4 Likes

Ongea na priest vizuri siku ya wedding, aweke carbon paper chini ya marriage cert, alafu prenup chini yake. So when you sign the marriage cert, pia hizo signature zitakuwa kwa prenup.

8 Likes

@Wakanyama kuja na usitume assistant butcher. Kuja mwenyewe. bae wako @Akeelah anamarika…

2 Likes

hahaha sly fuckers

my Akeelah aolewe na mzee mzima?SIWEZI KUBALI

@Wakanyama nilikwambia ujishughulishe na Smak. Wacha ufala. @Akeelah is taken, believe me.

1 Like

Yani @Akeelah unaitwa “kifaa” na unakubali?

1 Like

@spax someone is cheating on you

Sijataja mtu

achia fisi space kiasi

3 Likes

NGEUS NI NINI?

Hii ghetto yako ni soft! Kuja kayole mahali ukienda kwa bar unabeba spanner number 15/14… Ukiona mtu hana meno zote hiyo ndio hufanya damage. Everydody akipewa ziko mahali. Hakunanga pombe tamu kamu bar watu wanaheshimiana.

Sasa hii ni lugha gani jameni???
mzee mzima kakojole lugha hatharani.

Sijaelewa hii story mimi… Age is catching up!!

hauko peke yako boss

pia mimi sijashika kitu

Ngeus ndio nini mzee mjinga

1 Like

Ngeus is a slang word for chick or young lady

I thot prenup was a western thing?

This guy is funny like shit! Endelea kutuchocha buda.

Shalom