Another Coronavirus day.

[ATTACH=full]302266[/ATTACH]

Wapi sausage moja

Amempa waiter…

Zii…bado inaiva

I miss beer. The last time I had a bottle of my favorite frothy liquid was on 28th December 2019 somewhere in a place called Gitimbine pale Meru.
Saa hio ndio Wuhan walikuwa wanahatch vifaranga vya corona. Seems like Eons ago.

Why didnt you stock?

Enda kwa depot ya eabl nunua crate ukue unafungua pole pole. Deposit ya crate na chupa ni 760.

Hako ka glass ni kafupi sana for beer.

Nishakula

Ndio mzuri ya kubugia haraka

Enda Kwa restaurant uitishe Mutahi Kagwe moja

Hio glass yako imeoshwa na OMO ama ni chafu bado. Reasons why i will never use a glass tumbler in local pubs. hepatitis ndio naogopa

Imeoshwa na Omo na sanitizer

I suppose you also carry your own plate and folk?!

This guy is too apprehensive

Unrealistic more like!

Yes to that,tangu nione msee ametapika kwa sahani
I only eat out IF cornered. Did you read where i said LOCAL? yeah, duka za chipo ni local,choma najifanyia kejani.Yes im snooty and a bourgeoisie to boot. Kuharisha ju nimesosi nje is not my cup of tea.Any more questions?:smiley:

@ChifuMbitika and @Kdawg254 nitawadirect to some top rung restaurant with your families (kdawg doesnt have so kunguru will suffice) and probably get you good discounts of you stop judging

Sawa

Nitakutafuta ,wacha tuone vile hii kolona itatupeleka:D:D