Angusha Heka what u did After kuchelewa juu ya Traffic

Don’t remind me. :smiley:

I went to the airport in New Delhi, confidently, ready to board my flight back to NBO. Kumbe I was a DAY late. The flight was the day before! The person who printed the ticket for me did not alert me that the dates/times on the ticket were in local time zone! There was not a single KQ flight that night. The security guys just looked at my ticket, smiled (I’m sure I wasn’t the first person to come for a flight a day late :)), and sent me to the KQ office. I called KQ NBO, paid $150 for No Show, and went back to the hotel to sleep (my room was still intact). The following night, I was back at the airport for my flight 4 hours to time. :smiley:

nilikuwa na job early morning its not about the money

uyo invigilator alikuwa na wazimu kwani ulikamua daughter yake
iza lakini ulipitia

Happened to me, nimebook modern coast online, nikajua nimebook basi ya 10am. Kufika globe napata kale kajam na ni 5minutes to 10. Nikachukua nduthi fuaster fuaster. Kufika booking office huyo dem wa ofisi ananiambia basi yangu ni ya 10pm. I was thoroughly deflated.

:D:D naona ulifika on on on time iyo 150$ ni budget ya sparta ya dec holiday o_O

[ATTACH=full]158389[/ATTACH] yani u were 12 hours early :D:D:D:D

so what did you do till 10pm hakuna vile unaweza bagaiza CBD for all that time

kuna siku nilikua natoka coast asubuhi na bus modern coast ya 10am. nikatoka mtwapa ati 8:30am nikijiambia ati mombasa hakuna jam. ile jam ilikua pale kwa nyali bridge niliaza tu ku sweat nikajua sasa bus itaniacha. tulivuka tu bridge kidogo nikajiambia naweza kimbia kuliko hio matatu. nilikimbia yangu yote cost kwa hizo streets zao kama hawker amekimbizwa na kanjo. kufika kwa stage ya modern coast they said the bus was going to be late. the bus came 1hour later. mimi na mbio zangu in the coast morning heat nilikua nimesweat hadi macho.

Cheka tu. :smiley: I’ve also missed flights to Bangkok (traffic jam on Mombasa road) and Dar-es-salaam (Sunday morning - StanChart marathon blocked roads).

Juzi, I missed a flight from Entebbe to NBO. I had checked in and was at the waiting lounge. I waited for them to announce on the loudspeakers that Flight KQ413 to NBO was boarding. I waited and waited. Nothing. It was that time when KQ was having serious delays. I finally walked to the gate written on my ticket to enquire. I asked and M7’s relative pointed at a dot in the sky and said, “Ssebo, that is your plane in the sky.” They couldn’t believe that I missed a flight while I was sitting a couple of meters away. I told them they didn’t announce the flight, wakaruka. Another $150 for No Show. Booked the late night flight. Instead of getting to NBO at 8pm, I got home at midnight.

KQ should give me a job on the board of directors. I’ve paid too many fines. :slight_smile:

Niliwahi book hiyo basi online gari ya 7a.m nikatoka kwa keja 6, kufika stage mat fulani ya kelele begged me to board it na nikakataa nikaendea nisso juu imetulia. kufika Langata road nikapata mother of all jams. kufika Nyayo napatana na ile gari nililenga ikirudi rongai kupick watu. kuingia hapo modern stage napatana na basi kama imetoka imeshika Tom MBoya Nilikimbia hadi offices zao, asked that lady if inaweza simamishwa nifuate na nduthi, akacheka yake yote saa hizo nashangaa. halafu akasema gari yangu bado haijafika lakini nisizoee kufika late

Iko Talker fulani imefanya tumefukuzana na bus ya kwenda Coast na nduthi.
We caught it before Athi River and we’re lucky it stopped.
Ng’ombe saidi.

:D:D

:eek::eek: waaah kaka wewe uko ile lane ingine

:D:D:Dangusha sketch ya iyo siku

:D:Dnext time fika mapema altho uyo dame ako na sense of humor

I talked my way into the 11am bus.

apo sawa

Not

Not Worth the risk

Long time ago when i was still hustling, I booked a 7am Modern Coast bus to Kampala UG. I was staying in Umoja1 estate so I decided to buy my buddies a couple of KC mizingas that evening, since I’ll be away for some time.

To cut a long story short, i woke up late the following morning at around 6am after snoozing my phone alarm several times.

Nilipanda nduthi na kulikuwa kunanyesha vi-serious…

Mimi huyo kufika kwa ofisi ya basi naambiwa basi ishatoka. Nikaambia msee wa nduthi tuifuate tutaipata kwa traffic ya Globe roundabout.

Tulifuata hiyo machine, kufika Kangemi machozi imejaa kwa macho nikaambia Valentino Rossi anishukishe mimi nimechoka.

Nilipanda basi moja moto ya kuotea mbali inaitwa TRANSMARA inapelekwa na dere mmoja wazimu ana limp kiasi nikalipa 1000/- i connect with my bus in Busia.

Modern Coast ilinipata Nakuru nikiwangoja wakafikiria mimi ni ghost fulani.

Hiyo sitarudia tena…

Siku ingine nimefikisha bae anaenda majuu mara yakwanza, kufika jkia tunapiga selfie za ufala na tukaachana hapo aingie checkin. Kumbe amechelewa na 18mins. Sa mimi nimerudi opp. hapo arrivals kuchukua doublem nirudi tao, kumuuliza kama amecheckin ananishow si kuzuri. Kwanza 20k nilikuwa nayo ikaenda hivo ya no show. Then akawekwa kwa 10pm flight. Tukabangaiza hapo hadi kitu 9pm.
Kufika next day alikuwa na domestic comnecting flight wanamshow hawatambui no show lazima abook afresh. Nikahustle 30k+ nikamuwekea kwa acc akalipa one way.
That same week nikasimamishwa job ile madharau na mjinga hakuwa amenilipa 2months (kuna pesa amekatalia hadi leo)
Alafu mrembo kurudi akaibiwa ikabidi nimsukumie za kumshikilia kiasi … Na tulirudi tukakosana

masaibu ya boy child walai[ATTACH=full]158425[/ATTACH]

:eek::eek:50k in a span of 18 hours :rolleyes:halafu anakulwa na TLS HKM mukikosana for free

Shait!!! I feel you mblaza

Hivo ndivo unaonanga msee amekasirika kila saa unashangaa ananyesha nini …