either ukienda Airport ama bus/train station ama pia important meeting .
Yangu nilichelewa nikienda Syokimau SGR so nikachukuwa motorbike from CBD nikalipishwa 1200 ksh something l will never do again,not worth the risk…halafu sikuwa na helmet …then kufika nikafika 3.21 pm…
security check up ikachukuwa 7min ile kukimbia sparta alikimbia nikapataa wakipiga final bell…luckly the attendant akakubali ni ingiye first cabin as l walk to my 13 coach…
so many pple waliwachwa iyo siku apo nika learn ukitravel fika 2 hours early…kwanza watu wakubook online wale hawakuwa na Tickets waliwachwa wengi sana…
Was travelling on a Sunday so in my mind najiambia JKIA niko sure if I get there 20 mins to time I’ll be sorted as I didn’t expect there to be many people at 6am on Sunday. Wacha cab haijachelewa nikafika 10 mins to time napata line from there to Timbuktu. Sasa nikuanza kuomba watu waniexcuse coz ni kubaya. Kufika kwa matha wa custom mjinga ananishow nirudi kwa laini niwache kuruka watu tukaargue for some minutes watu wakamshow wamenikubali niwapite…just got to the departure lounge on time nikapata ndio watu wanaenda kuboard, fweeks
Sijui mi hubahatika aje na JKIA mara most mi huchelewa and nishawahi pandishwa next flight bure…kupewa ka escort ya kupenya na na dame hadi kwa mlango from check in…hadi washawahi kunitetea ndege itulie like 5 10 mins hivi ilinifke …All these times huwa niko na bob marley cologne mbaya[ATTACH=full]158332[/ATTACH] lakini nishwahi wachwa bila huruma algarve portugal niliwasha excess na nikaji pata niko tipsy sana na niko line on the wrong gate…nilitupa macho kwa board after some time nacheki ndege haiko kwa list…nadhani maybe ni flight update after sometime nikacheki kwa phone…flight iko departed was too hung over na sikutaka kujihaibisha plus was on so many shit niliamuu ku extend stay na kw week hivi
On my way to JKIA one wet Monday morning.
Those days outering Road was chaotic.
Flight is at 9.30am
So at 6am nikaambia wife anidrop.
Sema jam kushikana.
7am hatujasonga. Bado tuko doni.
7:30am tumesonga just a few metres.
Told wife me napanda nduthi. Siwezi lipa $150 for no show plus client was expecting me jioni for a meeting.
Msito okiya juu ya nduthi na suitcase.
Kukaanza kunyesha.
Nduthi ikagonga make hadi exhaust ikaktika
Juu ya exhaust kukatika it started making producing some loud sound kama gari ya safari rally.
8am tukafika Airport. Hizo siku that old Airport Road haikuwa imefungwa.
Jamaa wa nduthi akanishow nduthi not allowed inside Airport.
Akanidrop mbali sana near entrance cargo gate.
Akanishow fare ilikuwa 500/-
Me nikaanza kuenda mbio mbio ndio nisichelewe
Nikapata double M nikaipanda inipeleke terminal
Double M was slow as shit. Hizo siku the late Mandevu was alive so speed was like 20kph sio kama sikuizi vile zinapelekwa kama forward travellers.
Kufika terminal 9am KQ wananishow flight in a delay so ni chill till 1pm.
Never been late in an important place coz i was brought up by my grandfather who is a good time keeper to date, ukimuliza ni saa ngapi example ni 8:05 atakwambia ni saa tatu ju imepita 5 minutes sio saa mbili tena.
When i was taking him for chemotherapy in knh, we would travel two days before and spend the night at my aunt’s place reason being matatu zinaweza goma or something might happen and we may not make it to the place.
A week before the journey i was to take the clothes that i will travel with at his room put them in a bag to avoid last minute rush thus forgetting some items.
Then the day we are to travel we were to wake up early confirm what is in the bag then as early as 8:00 tuko ndani ya 2nk.
Reason being gari inaeza haribika ichukue time to repair so the earlier the better ndio usifike usiku.
Nimechoka kutype kwa simu watu wa osungu kujeni sijaedit
was like 3 weeks old in a new job in western kenya, nikakuja ocha embu then nimebook easycoach ya sunday usiku kurudi. sema embu-nrb highway kushikana ilianzia sagana kwa bridge ya tana. 7:30 niko githurai na bus inafaa kuondoka 7:45. kuwapigia wananishow hawaezi ningoja. nikashuka nikapanda nduthi githu-railways nikalipishwa punch. msee wa nduthi anaenda kama wazimu nilikuwa najiuliza si ningekubali kuwachwa kuliko kugongeshwa gari. nilifika tu kuingia na bus ikaondoka
portugal naskia ni kama thailand ulikula tranny kadhaa:D
great man indeed
:Du were lucky altho iyo journey huwa noma tangu ur mind settle,may be ulikuwa umeplan kubuy drinks na airtime,lakini glad ulifika on time wasee wa nduthi wametuokolea sana
same script different actor and only difference is that i paid the boda guy 500 bob. Over speeding and maneuvers along Mombasa road gave me adrenaline rush never experienced before. I missed the train.
Zii actually its like coasto…especially albuferia…bar after bar club after club…ma bouncer ndo wanakusumbua uingie ama madem wa shots…hauja party kama hauja fika hii base…hakuna cha uchichi man plus kuna strip club mbilli huko mzeiya…
Mimi nilichelewa kufanya exam juu ya jam. It was to start at 9 na hiyo 9 I was about 9 Kilometres from school kwa jam haikuwa inasonga. Those days motorbikes zilikuwa chache sana.Nikashuka na nikaanza mbio. I got there sweating like a pig juu singeimajine kulipa 10k ya resit. Invigilator akakataa kunipea question paper ati juu nime chelewa na more than 15 minutes nikazusha ile hakuna hadi akanipa paper.Nikamaliza question 1 time ya exam ikaisha alafu invigilator mshenzi anachukua paper yangu mtu wa kwanza badala acollect za wale walifika mapema. Good thing I had high scores in the CATs so aggregate nilipata D which is a pass nikasave 10k.
My boss to be called on a Monday akinishow by 8am Tuesday nikuwe around hurlingum ni Mimi wa kwanza kuingia interview.
Was staying at mathare North.
Nikiamka mapema kawaida kitu 6. Nikaomba beshte yangu official clad. Mimi ni mtu wa t-shirt na jeans. Nikadunga kiatu sharpie but ilikuwa Mzee kidogo.
By seven nilikuwa survey na Kibahasha cha A4 cert zangu zoote nikapanda gari ya Githurai fote five, ilikuwa inasema commercial but ikapita kariokor. Kufika Riverside ikashikwa ikabidi ni kuchapa shoebaru hadi Kencom. Nikafika Kencom kitu seven fote. By seven fifty gari ilikuwa inapiga ile roundabout ya uhurupark. Mlolongo wa magari ilikuwa inastretch all the way kutoka Serena na kajam hakasongi. Kukol boss hachukui simu.
By 8 ten ndio tunafika gate ya Serena. Ikabidi nishuke nitembee coz sikuwa na doh mob hata za duthi.
It was drizzling allilobit. Nikachapa short cut ya statehouse ili nitokee Dennis pritt road. Time was not with me so I was half walking running.
Nikifika statehouse niko fully soaked sweat plus drizzling rain. Nilikuwa na nywele kubwa so kupanguza na handkerchief zikaroll misokoto. Nikifika gate destination place ulimi ulikuwa nje kitu saa mbili na fote.
Alafu unajua kukinyesha ukimbie maji chafu na hapa nyuma hukurukia kutoka mgongo hadi miguu. I looked as if niko na mudguard ya bike.
Nikalazimishwa kuosha viatu coz all the place iko na tiles. But kiatu ilikuwa ishaatoboka pale heel ikaingia matope. So nikitembea nilikuwa naacha marks za viatu. I was forced to wash them three times.
Kuingia place ya interview nilikuwa nakaa chokora.
Kuulizia about interview naambiwa inaanza saa tatu and some guys hata hawakuwa wameifika. I just stayed there embarrassed. Niliingia interview room wa kwanza kitu saa tatu. Everyone was shocked. But among the fifty guys I was shortlisted na nikawahi hiyo job in the final interview.