Andrew Kibe kapatikana

Jamaa hujigamba venye yeye ni alpha lakini leo kapatika. Ameoashwa pesa yote kwa Mpesa, niggaa aliDM a fake Twitter handle instead of the real Verified Safaricom handle.:D:D
[ATTACH=full]492683[/ATTACH]
He needs whips
[ATTACH=full]492684[/ATTACH]

Safaricom and Equity share the same scammers

Enyewe that’s a smart scam. Lakini hapo si Safaricom inaweza trace wale scammers wawaekee minus kwa account ata kama itaenda hadi Fuliza

This is why mzito Elon wanted all Twitter parody handles to show “Parody” in their name, not just in their Bio to curb such menace. There are some verified accounts that completely imitate original accounts and excel at scamming unsuspecting people.

I always knew you were a genius.

Why dint he dm or inbox via facebook… hii ni maneno ya kupost your issue out in the open making you a target.

:D:D:Dwako kila mahali

[ATTACH=full]492696[/ATTACH][ATTACH=full]492697[/ATTACH]

Wacha tu nibaki old school. Kukiwa na issue I go to Safaricom office myselefu.

Ka-midget kameharibu safari-con

Ile ukora iko hii Kenya yetu huwa ya hali ya juu sana banae. Majambaz kina @johntez addi gaza msafi kila corner aisee.

My way too

Good old social engineering. Works like magic

Ikiwa karao alioshwa 600k na wasee wako huko Nandi hills sembuse regular mwananchi.

walimuibia ngapi?

40 k

The dude is broke. From the video he posted ni kama maisha inampeleka mbio