And it's Mike Dean...

Yaani after fans signed petitions after petition to have this nugu banned from officiating Arsenal games, bado amepewa hio kazi…
We are watching your every whistle and every card, ref…

1 Like

Vile mmeona game imeshika ndio mmeanza kucomplain

Ametukazia clear penalty

1 Like

Wewe jaluo shugulika na chelsea. Usitusumbue

team kubwa kama arsenali mnalilia pena

Sindio hauoni hio bus Hull wamepark hapo

It was their only hope for a goal… Its like Maureeeno amekuwa secret advisor to Hull on the mechanics of bus placement.

1 Like

Hull city ni team kubwa wako no. 1 championship

Hawa wasee wakitoboka kamoja Tu hio bus Yao lazima itabomoka kaa ya Maureeno

1 Like

Ni team kubwa kivyao. Susi tunataka wacheze game sio kutuwastia time

@The_Virus ulicheki hio game ya Perth Na Brisbane? One unexpected results and scores…

Hizi ni pressure za Barcelona :smiley:

Arsenal apan tambua Barca.

1 Like

Iwobi kitolewe banaa

yeah goal goal zimeingiana poa leo but jana nilipoteza pesa mingi kwa melbiurne victory

1 Like

Hii ngombe inatoa welbeck na campbell inawacha iwobi na Walcott…smh

Aaaargh finally kimetoa Iwobi. Ox ndani

Don’t tell me wewe in mfuasi wa blues au reds

Hio basi siioni mimi

you are intimidating him ndiyo akasema Aluko ako offside?