Anayekubali kuambiwa ukweli unaouma ndiyo hufanikiwa

Tazama video hiyo.
[ATTACH=full]176738[/ATTACH]

Kama ambavyo msema ukweli ni mpenzi wa Mungu basi iwe na muambiwa ukweli na akakubali kuambiwa nae ni mpenzi wa Mungu

Wengi hatupendi kua Hit with the truth, tunapendelea zaidi kua comforted with lies…

Cc: @Mahondaw

Ukweli ni mtamu japo mchungu

Ngumu kumeza japo inapita

Ukweli humuweka mtu huru na salama zaidi,.

Ukweli unaongeza Uaminifu