An Mp's bodyguard pulls out gun during a football match and ready to shoot

I don’t know why he was so angry.

[ATTACH=full]193856[/ATTACH]

walikosa tu kapicha kamoja ka akiwa ametoa hio pistol?

licensed gun owners have temper issues

Matusi za pwani zinakuanga uchungu

Wewe ungekaa hapo kungoja aitoe ndio upige picha? :D:D:D

Some…not all.

generalizations mingi

hakuna matusi tamu iwe ya pwani au bara

:D:Dmwenye alipiga hizo si angepiga saa hiyo aliona ametoa?

There is no case there.

:D:D:D:D probably alikimbia chini ya bleachers vile he/she saw what was unleashed. Kenya is known for stray bullets fatalities.

Nonsense. Hawa ni wale wanaanza matusi, wanashindwa, anatupa kateke kanashikwa ka ametemewa mate. Akitupa ngumi inashikwa. Aki apply kutumia akili, opponent inapatikana bado anashinda yye.
Anaona hapa risasi ndio mwisho wa mawazo. Pumbavu ikichengwa ikubali

Exactly. Mwanaume jike.

Inafaa akutane na wendawazimu wa ulinzi…wanakutusi, wanacheza kiatu na mnachapwa bado

Haha inanikumbusha refa alikua akiref 78 Isiolo tournament flan. Aliwai stopisha ball for faul. Uyo msee alicheza kiatu akatupa ball mbali na madharau akizusha ati ni umaffi, he just beckoned the bugger and came running with his motor mouth. Niliona kamezimwa na kofi mpaka akaitisha timeout :smiley:

Hao watu ni washenzi sana:D:D

Imagine kama huyu fala angefanya hivi kwa game ya ulinzi pale Afraha stadium…

Angekuwa mortuary, kubaff yeye

"This is the second gun incident in a Kenyan Premier League match in the past three years.

The other occurred during a game between Ulinzi Stars and AFC Leopards in Mumias where a soldier attached to the Ulinzi team was pictured holding a gun".

[ATTACH=full]193920[/ATTACH]

:D:Dunakuaga na ujinga at times. umesahau which media reported this?