An doctor encounter

Hiyo usiku sikulala,jino ilikuwa inaniuma ile mbaya.I was the first kastama at the hospital kitu 5.30 hivi. I waited for the dentist mpaka six hivi. Kajamaa kengine kafupi hivi kakatokea na kuniita kwa room ilikuwa hapo.
I explained to him everything,jamaa akavaa kabuti na gloves kisha nikaona amechukua sindano.Akakam penye nilikuwa na kunidunga sindano moja kwa gum.Shida zangu zilianzia hapo,hiyo dawa sijui ilikuwa gani,niliganda kidogo tu,sasa Wacha jamaa aanze kungoa Jino,sijawai sikia uchungu Kama hiyo.
Alikuwa akivuta juu napanda na yeye,akipeleka left Mimi huko,akangangana lakini badala ya jino itoke yote ikavunjika na kuacha ingine ndani ya gum.Jamaa nae ni nani,sijui ni chisel alichukua akaanza kuchimba gum maze, nilikuwa naskia kokoko ndani ya kichwa.kidogokidogo nikaskia amengoa hako ka piece kalikuwa ndani.Blood ilikuwa imejaa kwa mdomo,niliamka na hasira ile noma, flew like zidane,headbutted the charlatan chini,i heard a sharp scream Wooi Wooi amenivunja mapua.Wenzake wakakam mbio kujua nini inaendelea,hata sikuongea nao nilitoka tu kuenda Kutafuta pain killers.

pole

:D:D:D

ni vizuri kuambia daktari ukweli kama wewe ni mvutaji bangi ili atumie dawa badala

Do you know you could be sued for assault…the nose you claim you broke?

:D:D:D:D

hehehehe picha tafadhali for 1000likes

Ukatoka ukiwa na damu hivo??? Chisos!!

Ya headbutt ama ya ‘akienda juu naenda na yeye akipekeka left mimi huko’?
Ama ya akivaa white coat,gloves na kuchukua sindano?

Hehehehe, a friend was booked for such a procedure on a Saturday morning, akaambiwa vizuri usikunywe pombe the night before. Friday after kazi jamaa ametu join anatuambia leo ako kwa soda. Kidogo zimemtuma ati akunywe beer moja, ikageuka tano na ma jager bomb.
Clinic anaingia asubuhi na hangover, daktari alimwambia pole nyingi sana in advance na akaita reinforcements to hold him down

I once had the same encounter pale Miles Clinic Bus station…nlidungwa after few minutes jamaa akaanza kuning’oa…ghai…the feeling of a bone breaking when u are still alive…i moved as he moved…akaniuliza kwani hujaganda…noma…he had to inject me again twice…waited for few minutes…nlikua naskia kama nimebeba freezer kwa kichwa…he left a very huge hole/gap in my gum…
Ni kama wanaogopanga iyo dawa isifikie part ya brain:D:D:D

[COLOR=rgb(184, 49, 47)]An [COLOR=rgb(26, 188, 156)]A Doctor… manze ENGLISH kama huwezani ongea Mother Tongue…aka Lugha ya mama

you are the one who is out of the loop

:D:D:D
kuna day nafanyiwa sijui skaling…sasa juu ya kukaa for long with the mouth wide open…the brain part that tells it to “close” ikasahao…i had a long 5mins of stress nikifikiria sitawai weza kufunga mdomo tena

:D:D:D

:D:D:D:D Was about to recommend a lecturer lakini mi staki mashida kama an doctor huyo wako

Huyo alikuwa fake kabisa

Kwani wewe ulikuja hapa lini

Jamaa hadi ameweka osungu.dll in colour

:D:Dinaitwa faux pas.