That he calls himself db Cooper should have been a dead giveaway ni jamaa ya karura
[MEDIA=twitter]1594720380941467650[/MEDIA]
That he calls himself db Cooper should have been a dead giveaway ni jamaa ya karura
[MEDIA=twitter]1594720380941467650[/MEDIA]
sijawahi elewa watu hurebuild hizi defender. hizo gari ni mzee sana na hata maintainence ni balaa. Technology ni ya kitambo kwa hivyo sio fuel efficient, isitoshe haikosi mashida ndogo ndogo zenye huudhi mtu. kitu kama leakages, mara mlango na dirisha hazifanyi, kuchemka e.t.c. Heri kununua hilux ukae nayo milele hio iko tried and tested worldwide.
[MEDIA=twitter]1594808505415901206[/MEDIA]