Sijawatch
Ajue huko hakuna kulipa mtu 700/= per day kulima shamba
Akanyal crik kama si xvideos
Tumsubiri babu trump aone mambo kama haya, atarudishwa karibuni. Kenya inawindwa na wa america kwa sababu ya vituko vyetu kwa kujihusisha na utapeli na uhusiano na wasomali. ni wakati mbaya sana kuonekana mbele mbele ama utakuwa wa kwanza kuwindwa na serikali ya waamerika.
2 Likes
Hehe, wasi wasi mwingi kaka, mbona? Hajapata shamba kwa njia ambayo sio halali..