Kuna huyu msichana ako 20 aliingia box 3 weeks ago. Nilikuwa nimemzoesha kukuja only on the weekends friday to sunday alafu anajitoa. Sasa on wednesday at around 7:30 pm msichana akajileta kwangu na nguo zake za hiyo siku alafu thursday jioni akakuja na suitcase zake kutoka hostel za university. Since wednesday amekataa kurudi kwa hizo hostel zao ata sasa ameanza kupika kurearrange vitu na ile upus ya wanawake. Nimeshindwa vile naweza fukuza huyu msichana. Nikimwambia aende hataki kinaanza kulia ati namhurt feelings saa hii kiko kitchen kinapika chapati.
Hey lad did someone point a gun to your head and force you to seduce her ? The girl probably fell in love with you or she saw you a the best candidate to be a sponsor anyway beba mzigo wako ukikamua ulikuwa pekee yako
Huyo ni ex wangu ako na ball yangu niliruka… Be a good dad to the kid. Na ukumbuke atazaliwa akiwa na miguu black za Used oil kama mimi babake uliza @wong