Amejenga mansion

6 Likes

Iko chonjo, ako na patio

3 Likes

That’s a basic need fulfilled, it shouldn’t stop the owner from thinking about production, create new things, build stuff, just something.

2 Likes

hii ukiwa nayo ushago si uko seti

2 Likes

Nice home, hope the place is always cool. Juu kama weather ni kama ya Ukambani, joto itaua

3 Likes

iko poa akiweka insulation ya ply wood side ya ndani ya izo mabati za ukuta na aweke ceiling juu, sababu ya njoto na baridi.

ni poa kuliko ile @hakimoto amejenga pale kibuye

images (13)

2 Likes

hehe, sioni shida na hio keja, na inakaa kuwa cool saidi mchana. Ni kama kuishi kwa nyungu. Usiku ina ka joto na mchana ka baridi.

2 Likes

Huna video

3 Likes

Ni mujinga kama @sokwemtu

1 Like

nita kuseti kibare moto utage yai wewe mwehu

1 Like

Hii ni poa sana kwa mtu ako na plot huko ushago na family na amechoka kulipa rent. It is perfect for survival kabla pesa iingiane. You will be surprised how much money this guy will save by simply not renting.

3 Likes

Shida tu ni ikiwa area iko na madingo wanararua hio mabati na makasi, unapata nyumba iko clean.

angalia video iko na either mbao, ply wood or some board work ndani ya mabati

Iyo nyumba sio cheap, izo interiors zimetumia pesa yote

2 Likes

Safi saidi

Wajaambiwa poa.

Very low ceiling though. Poor for efficient air circulation

Great stuff.

Nini huzuia wasirarue zile milango za chuma? Ama wasichome za mbao? Wa kukuibia atakuibia tu hata ujenge vault.

Very nice cottage house. Eliminating rent is half-way towards freedom, especially in a country like Kenya where the cost of constructing a pigsty is within reach of the common mwananchi. In Western countries, the common man has to take a 30 year mortgage to afford owning a home so you can imagine the lifetime stress of doing so.

This is one area where Kenya beats the US handsomely. Kenya ukijishikia mburoti maguta maguta pale Syokimau uangushe two bedrooms you’re set. Majuu the same house costs $800k-$1m so mortgage handcuffs inakufunga tu hivyo.

People hate on those 50 by 100 but they are an easier and very solid proof of finding actual freedom.

1 Like