some guy in knlist in 2011 told us how he made his own amarula mixing
KC
Sugar
cadburys drinking chocolate .
He gave this to his campus kunguru in an old amarula bottle the general consensus was either the girl doesnt know how amarula tastes or the whole story was made up
That hekaya was filed under shit that never happened.
it was real, ni kama ile @Jimit alisema alidunga mkuki nje ya nyumba ya maasai kuingia ndani akapata ni mujamaa ako pekee yake since tradition ni ukishadunga mkuki nje lazima ulale ndani ikabidi amefungua boot ya huyo mmaasai
:D:D
Kwanini huchoke hivyo vyoooote na kuna amarula copyright ya george best @700?Nunua hiyo mwaga kwa chupa ya amarula unionyeshe kwa hizo slayqueen zenu mwenye ataijua, tried and tested
:D:D:D:D:D:D:D:D:D
this was 2011 there was no best then
Lakini ukipiga milkshake kedo 600 ml na uongeze Konyagi 150ml si uko na Amarula 750ml
Ukitaka kuunda Amarula unanunua:
-Popov vodka
-Drinking chocolate
-sugar
-Milk powder.
Unachanganya mpaka zinakuwa kitu moja na unaongeza maji Safi. Utakuwa na Amarula poa sana
vodka/gin + hizi sweet yogurts ooh! or delamere.