AMANI NA UTULIVU vs HAKI????

Utasikia viongozi wa serikali na wa chama tawala hasa wana CCM, kila wakisimama wanasema nchi ina amani na utulivu. Na kuwahimiza wanchi wote walinde amani na utulivu tulio achiwa na waasisi wetu.
Cha kustaabisha sijawahi narudia tena SIJAWAHI kumsikia “STONE”, viongozi wote wa serikali na wana CCM wakizungumizia NENO HAKI.

Kosa kubwa wanalofanya nikutokujua kwa makusudi au ujinga tuu, na ulevi wa utawala,
AMANI NA UTULIVU NI MATUNDA YA HAKI.
Mahala popote duniani ambapo hakuna HAKI ukweli ni kwamba hakuna AMANI WALA UTULIVU ni woga na hofu zilizo wajaa watu, hiyo amani iliyopo ni cosmetics tu.

Huwezi kumnyima haki mwanadamu ukatawala milele.

Nami niewaji siti ya MBELE. Naja tena

“Ili tuendelee kama Taifa tunahita uchochezi zaidi na si utulivu” Ayubu Rioba 2012

Wasi wasi wao tu… lakini mambo yapo shwari…

Cc: @Mahondaw

Ayubu Rioba 2012 vs Ayubu Rioba 2018 …!!! Teh Teh Teheeee

usingekua na amani na utulivu ungepata wapi nafasi ya kuandika madudu yako haya…

seems hata shule huna sababu hata ulichokiandika hakieleweki